29/05/2011

Hongera Barca Boys!

Lionel Messi "jembe" la FC Barcelona akiwa amenyanyua kombe la ligi ya mabingwa wa Ulaya (UEFA Champions League) baada ya FC Barcelona kuinyuka Manchester United FC mabao 3-1 katika uwanja wa Wembley, London Uingereza, jana.

2 comments: