27/05/2011

Obama na Malkia Elizabeth "wapombeka"


 Huu utani kwa kilevi cha Guinness cha Wa-irish kwa viongozi hawa baada ya kuzuru Ireland kwa nyakati tofauti,  ingekuwa kweli sijui ingekuwaje?

2 comments:

  1. Ni nini historia ya hiyo CARPET nyekundu? Ushindi kwa Wakoloni dhidhi ya damu ya Mwafrika?

    Nani analo jibu mie sijawahi kusikia maana ya RED CARPET!

    ReplyDelete
  2. Mmmh mkuu GMP, umeleta swali muhimu I see...kabla ya ukoloni sijui yalikuwepo haya ma-red carpet?na yalikuwa yanatumika hivi?na mimi najiuliza tu...

    ReplyDelete