22/05/2011

Majina ya Ubini ya Wachaga!

Milo mbali mbali ya kichaga
Mbege, kinywaji cha asili cha wachaga
 Kuna huu utani niliokuta kwenye ukurasa wa rafiki yangu fulani, alikuwa anauliza...

Why most of surnames za kichaga zina herufi tano?.. " Minde, Kweka, Lyimo, Kyara, Tesha, Munuo, Patto, Mambo, Moshi, Mushi, Urima, Saria, Mosha,...".. ukilinganisha na majina kama haya hata kutamka inakuwa tabu kidogo... Mkandawire, Mwanjabala..etc..

Lakini kuna rafiki yake mwingine akamjibu hivi...
 
Ni kwa sababu maneno TAMAA na MONEY yana herufi tano pia, si unajua wachaga walivyo na TAMAA na MONEY...

Ni utani, lakini imekaaje hii wadau? 

3 comments:

 1. kweli ni utani wa kuchekesha ila sijui kama kuna ukweli kusema kweli:-)

  ReplyDelete
 2. Imetokea tu, lakini yawezekana kwani kila jambo hutokea kwasababu, au ili iwe sababu..kwa wachambuzi hiyo inawezekana maana hulka na tabia zinakuja-kuja...ooops ni utani tu, kwa kuongezea

  ReplyDelete
 3. Ukiwa msanii mzuri tena mwenye uwezo wa lugha, unao uwezo wote katika kujieleza pia na kubuni pia kama huyo mwenye jibu la "money", "tamaa".

  Safi sana!

  ReplyDelete