22/06/2011

Mwanakijiji na Nyoka akivua Gamba

Ushairi ni mtamu, hasa kama unatumika kusawili matukio au mambo ambayo tunakutana nayo na kuyaishi katika maisha ya kila siku. Shairi hili lililotungwa na M.M Mwanakijiji (BGM) na kuimbwa katika mfumo wa ngonjera linafurahisha na kufundisha sana. 

Mdau, unafikiri M.M Mwanakijiji ana maana gani hasa katika tungo yake hii tamu?

1 comment: