19/06/2011

Mwanasosholojia yashindanishwa

Kibaraza chenu cha Mwanasosholojia kinashindanishwa na Blog nyingine katika tuzo za Mabloga wa Kitanzania (Tanzanian Blog Awards) mwaka huu. Mwanasosholojia imeingia katika "kategori" zifuatazo;

1. Best Informative - Lifestyle
2. Best Informative - Economy
3. Best Entrepreneur
4. Best Inspiration

Unaweza kuingia HAPA kuangalia orodha ya blog zilizofika fainali na kushindanishwa. Upigaji kura utaanza tarehe 25 mwezi huu wa sita, 2011. Waandaaji watatangaza jinsi ya kupiga kura na kibaraza hiki kitawarushia mara tu baada ya kutangazwa. 

Wadau wa Kibaraza cha Mwanasosholojia, tupige kura kwa pamoja ili kibaraza chetu kijishindie tuzo hizi na kuzidi kukisongesha mbele!

3 comments:

  1. Hongera sana mpaka hapo. Tuko pamoja, hoyeee!

    ReplyDelete
  2. Hongera sana mkuu. Nimeona bwana, namna ambavyo kibaraza chetu kinawika huko. All the best. Tugawane zawadi ukishinda.

    ReplyDelete