06/09/2011

Hepi Besdei Michael Dalali!

Michael Dalali


Anaitwa Michael Dalali, mimi hupenda kumuita Mike, wengine wanamuita MD na majina mengine kadha wa kadha. Ni mmoja wa wanafunzi makini aliowahi kuwagawia maarifa Mwanasosholojia, mwaka wa kwanza hadi wa tatu shahada ya kwanza ya sosholojia, Chuo Kikuu Kikongwe cha Dar es Salaam, sehemu ya Mlimani. Kwa sasa Mike ni Mwanaharakati, Mchambuzi wa mambo ya jamii (Siasa, Uchumi na kadha wa kadha), Mwandishi na fani nyingine nyingi. Kifupi Mike ana vipaji vingi, na Mwanasosholojia anavutiwa sana na yeye. Leo anasherehekea kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa kwake. Hongera kwa siku yako ya kuzaliwa Mike...endelea kutumia vipawa vyako kwa manufaa ya nchi yako na wananchi wake.

2 comments:

  1. Tunakusubiri sana mtandaoni hapa ili tupate mawazo yako, Bwana-Mdogo Michael Dalali! Kutoka kwangu nikiwa Manyanya huku kwetu Pretoria nasema: "Kwanza tabia njema ndipo mawazo mema!"    HAPPY BIRTHDAY, SONNY! AND YOU CAN RIGHTFULLY STAY PROUD TO HAVE A MENTOR LIKE MWANASOSHOLOJIA! (and how young are you today? Ninao watoto wengi wakike tuanze kuzungumzia posa, wewe Bwana Mdogo... OR ARE YOU NOT STRAIGHT!?! ...LOL...!!!)

    ReplyDelete