05/09/2011

Swali la Kizushi: Kwa Wadachi kuna Ushirikina?

Katika pita pita za Mwanasosholojia mitaa ya mji wa Groningen, the Netherlands amekutana na tukio ambao hakuwahi kuliona au kulifikiria awali, yai la kuku, kisu butu pamoja na kifuniko cha mnyororo wa baiskeli vimewekwa kwa pamoja pembeni ya makutano barabara...anauliza swali la kizushi, kwa Wadachi kuna mambo ya juju (ushirikina)?

Kisu butu,yai na mfuniko wa mnyororo wa baiskeli vinavyoonekana kwa ukaribu
Kisu butu,yai na mfuniko wa mnyororo wa baiskeli pembeni kidogo ya makutano ya barabara

4 comments:

 1. huko kuna wachawi tena wanalipa na kodi kabisa kaka teh teh teh teh!

  ReplyDelete
 2. hapana shaka kaka nako kuna ushirikina. kama hakuna, imekuwaje vitu hivyo vikawekwa njia panda?

  ReplyDelete
 3. Watoto wawili wakiDachi walikuwa wanacheza na vitu hivyo na baadaye wakavisahau papo hapo!  Na wewe je ukiingia nyumbani mwako na kushtukia mwanaume kashika sehemu za siri kwa mke wako BASI UTAUTANGAZIA ULIMWENGU WANAFANYA MAPENZI BILA KUWAULIZA WAHUSIKA? Sasa utajuaje kama mwanamume yule ni daktari?


  (Mara nyingi tunawasingizia watu vitu vingine kabisa ambavyo hawakuwa na lengo lavyo)

  ReplyDelete
 4. ANGELA JULIUS03/10/2011, 14:27

  LOL HA HA HA NIMEPITA HAPA KUCHEKA TUU @ KAKA GOODMAN LOL.
  BINAFSI NAIMANI UCHAWI UPO KILA MAHALI NI PALE MTU HUSIKA AKIAMUA KUKUFANYIA UPUUZI HUO WA LAANA AMBAO NI CHUKIZO MBELE ZA MUNGU.

  ReplyDelete