03/09/2011

Taswira ya Leo

Mdau wa kibaraza hiki Stephen Mnoni kaipata taswira hii na anauliza... hapa tatizo ni aliyeandika au aliyemtuma kuandika?

2 comments:

  1. Niruhusu tafadhali niruke mipaka ya swali: "Wote hawana hatia, bali yule mwemye kusema tutumie Kiingereza hapa kwetu!"

    ReplyDelete
  2. Sisi ambao hatujaelewa ndo hatuelewi na wao hawatuelewi kwa nini hatuelewi kwani kilichoandikwa si kimeeleweka!

    ReplyDelete