27/05/2010

Matangazo ya Sigara Kenya

Mdau amenirushia ucheshi huu wa ndugu zetu kule Kenya, nikaona ni vyema kutundika hapa;

NO Smoking in Swahili


After public smoking was banned in Kenya, each town clerk was assigned the
duty of posting notices in Kiswahili to that effect. See how different
councils posted their
notice: Other councils are still working on theirs.......

The Mombasa Town Clerk:
Uvutaji wa sigara umepigwa marufuku kuanzia leo.Watakaopatikana wakikiuka
amri
hii wataadhibiwa kwa mujibu wa sheria. Nyote zingatieni.

The Kiambu Town Clerk:
Wanyuanji wa thigara washunge sana.Unyuanji wa thigara bere ya watu hata
huko ije umefigwa marufuku na kaju kuanjia reo.

The Machakos Town Clerk:
Wavulutanji tusikala wasunge sana.Sasa kuvuluta tusikala ni maluvuku na
kanzu ya Masaku itawasukulia atua kuvwa sana.

The Kisumu Town Clerk:
Atenson Plis!!! Mifuto sgara adharani sasa omepigwa marofuku. Okipaatwa,
ibiro yie Kodiaga! Apana furuta Plis!!

Wajir Town Clerk:
Habana iko buruta sigara. Yeye lishapigwa marufuk na sisi
tagaamata mutu bhahala yaghe kiburuta.

Kericho Town Clerk:
Gutoga leo gugunywa na gufuruta sigara sisi nagshagataasa.Haguna!!
Charipu wee taona!!!

Kisii and Nyamira Town Clerk
Akuna kukunywa sigara hapa ndani na inche kuansia reo. Mutakaobatikana
mutakura kiboko saa iyo iyo. Wote munaombua kujiatari sana.

Other Councils are still working on theirs.......

9 comments:

 1. Hii imeniacha hoi kweli, sijui kwa kizaramo tunasemaje

  ReplyDelete
 2. Hii kali mkuu. You have made my day kwasababu nimecheka mpaka machozi!!!

  ReplyDelete
 3. Teh! Kuna wadau wameongezea kwa Same na Uru Kishumundu, Bongo;

  Same, Pare District Clerk:
  Kuvuta thigara kumekatadhwa kuandhia leo. Watakaokutwa wakikothea kwa kuvuta thigara hazarani wataazibiwa kufuatana na sheria. Thote tudhingatie!

  The Moshi-Uru Kishumundu towm clerk:
  Ufutaji o sigara okapwa marufuku anzia inu. Kokoyo kufuta sigara hazarani,shauri yafo, kuiazibio azabu ing'an sana kabsaaa! Chunga sana msoro na mndumka.

  ReplyDelete
 4. U have made my day bro. Thanx sana maana nimecheka hadi machozi kunitoka

  ReplyDelete
 5. Njombe District Clerk aliandika:

  Kufuta isigala wamekatasa kabisaa kabisa. Ukikamatika ndasene watakuchalasa fiboho na kukutia gelesani bila mcheso.

  ReplyDelete
 6. Teh!Malenga umenichekesha na wa Njombe!

  ReplyDelete
 7. Kitu kizuri ni kwamba wananchi wameeelewa maana wengine wangeandikiwa kilichonyooka wasingeelewa kabisa

  ReplyDelete
 8. mnajua ningekuwa rais ningeruhusu shule zote za msingi au hata sekondari kilugha kifundishwe mngeona jinsi matokeo ya mitihani ingekuwa bombi kweli. Nafurahi kama thigara haziruhusiwi kuvutwa ovyo.

  ReplyDelete
 9. OOHH! kaka upo wapi je upo salama unamisiwa sana sema kitu japo upo salama. Si unajua sisi ni ndugu mmoja akitoweka kwa muda wengine hukasa raha.

  ReplyDelete